- 歌詞
- 專輯列表
Leteipa the King
-
I pray
#INTRO Mhhhhhh Ni Vampk 254 Na Annie Njeri weweeeeh
VERSE 1 Kwanza nashukuru, Kwa baraka na wema wako, Kutwa nakufuru, Hunibagui na zangu vako, Iyeeeh Nje Kuna kunguru, kunguru, Wanataka nidhuru, nidhuru, Ila waninusuru, nusuru, Nafurahia uhuru, Ninaishi lifetime ya Cinema Kula kunywa ni kwa kubambanya, Nibariki furaha na afya njema Hivyo vingine nitavisakanya, Kuahidi sitatenda dhambi tena Nutakuwa ninakudanganya, Ila nitajitahidi kutenda mema Bila dhulma Wala kukwazana, Ni wengi wangetamani, Kupata Yako hisani, Mimi umenipa vyote cha ajabu Sina hata shukrani, Nikitazama jirani, Misikiti na kanisani, Mimi ninaponda Raha 更多更詳盡歌詞 在 ※ Mojim.com 魔鏡歌詞網 Sitoki kwa vyumba vya burudani,
#CHORUS ( I pray ) Nisamehe, Nisamehe baba, ( I pray ) Nisafishe, Nisafishe Yesu, ( I pray ) Nikomboe, Nikomboe Baba, ( I pray ) Nisafishe kwa damu Yako Yesu,
Kama mwana mpotevu Alivyorudi kwa babaye Nami narudi Leo tena nataka kusamehewa Nimekutenda mengi Yesu Leo natubu, natubu uuuuh Nimekutenda mengi, Yesu Leo natubu, natubu, Bwaaana
#CHORUS ( I pray ) Nisamehe, Nisamehe baba, ( I pray ) Nisafishe Nisafishe Yesu, ( I pray ) Nikomboe, Nikomboe Baba, ( I pray ) Nisafishe kwa damu Yako Yesu, ( I pray ) Nisamehe, Nisamehe baba, ( I pray ) Nisafishe Nisafishe Yesu, ( I pray ) Nikomboe, Nikomboe Baba, ( I pray ) Nisafishe kwa damu Yako Yesu,
-
|